All Of Me For All Of You - Kikuyu CD Cover

TWAKUABUDU

Tuna furaha kushiriki nanyi maombi haya na nyimbo hizi za kuabudu kutoka kwa Dkt. Noel Woodroffe na Kiwanda chetu cha Muziki cha Congress. "Twakuabudu" inadhihilisha moyo wa ibada yetu ya ushirika, heshima na shukrani kwa Mungu.

Waimbaji, kwaya, waandishi wa nyimbo na wanamuziki katikaalbamu hii wanaonyesha uzuri wa Mwili wa Bwana wetu Yesu Kristo. Wote hawa,wametoka duniani kote-Caribbean, United States(Marekani), Europe(Uropa), Afrika, Asia, Latin America (Amerika ya Kusini) na Pacific -ili kushirikiana na kuunda raslimali hii ambayo sasa tunashiriki na makanisa na waumini ulimwenguni kote.